Wednesday, May 25, 2011

MKUTANO WA NGOPSO, AFISA ELIMU NA WAMILIKI WA SHULE ZA MSINGI ZISIZO ZA SERIKALI

Mkutano huu wa kihistoria umefanyika leo tarehe 25 May 2011, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndugu B. Makali ambaye aliambatana na jopo la maafisa wa taaluma kutoka wilaya  zote za mkoa wa Dar es salaam